AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Wimbo wa pacha wangu ameimba nani?
Huyu jamaa nakumbuka sana jinsi alivyokuja kwa kasi sana na hit songs zake kama Silali, Marry me, Follow me, Roho yangu.
Hadi nakumbuka kuna interview moja msanii Diamond aliwahi kukiri kuwa Rich Mavoko ndiye msanii peke anayemuhofia sababu ya kipindi hicho huyu jamaa nyimbo zake zilikuwa zinabamba sana.
Ila kwa sasa huyu jamaa simuelewi kabisa hasa huu ukimya wake wa muda mrefu, tangu mwezi wa 2 yeye anasema coming soon mpaka tumechoka, hivi sasa hata nimejaribu kumfatilia insta sijaona kipya zaidi ya kupost habari za Magufuli tu!
Sasa je, ndio kusema wenzake wanamroga hadi asijitambue?
Sasa nasikia kapelekwa polisi kisa anaidaiwa laki nne. Dih wasanii wa bongo banaa
​Watu wachokoziHalafu kuna Linex Sunday Mjeda
Tangu alivyo anza kujichubua bhasiii na kipaji cha mziki kmepunguaa
management mazee...game ngumu sana msione diamond na kiba wanatoboa!watu wanamwaga mzigo sana ili muwasikie kila siku!.....kuna mtu mbishi kama mwanaFA?jiulize kwanini mabreak mengi katika game japo ana back up ya clouds.......tukubali au tukatae utawala wa diamond umeibadilisha sana hii game iwe kwa uzuri au kwa ubaya!...rich mavoko ilikuwa lazma apotee kwani alikuwa ana udiamond flani!....kama si utu uzima dawa hata king kiba tusingemsikia tena!