Hivi ni nani aliyewadanganyeni kuwa ukimuhamisha ' Taahira ' toka Muhimbili Dar es Salaam ataenda ' Kuponea ' Bugando Mwanza?

Muhimbili kawaida wanatoa dose kubwa kwa sababu hospitali na nzuri ya kimataifa ndio maana tukaomba tukatibiwe Bugando yenye dose ndogo na kweli matokeo tumeyaona
 
Unachelewa nini Mkuu? Mimi nilidhani tokea jana ile ile utakuwa umeshahamia Simba Sports Club Kwetu ambako Kumeshanoga?
Amesha hama jamani.
Your browser is not able to display this video.
 
Unachelewa nini Mkuu? Mimi nilidhani tokea jana ile ile utakuwa umeshahamia Simba Sports Club Kwetu ambako Kumeshanoga?
Kumenoga wapi 270m ya mishahara MO inaanza kumuelemea...anzeni kujipanga
 
Nasikitika nilishindwa kuhudhuria ibada ya kumuaga marehemu pale CCM Kirumba Mwanza, nawatakia safari njema kwenye ibada ya kumhifadhi mpendwa wetu pale Misri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…