Hivi ni nani ana mamlaka ya kuprint hela?

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,638
Hivi ni nani ana mamlaka ya kuprint hela???? Kampumi gani ina print hela? Na wanafuata principles zipi,??? Kuna uhusiamo gani kati ya b.o.t na hao wanaoprint hela?
 
Hivi ni nani ana mamlaka ya kuprint hela???? Kampumi gani ina print hela? Na wanafuata principles zipi,??? Kuna uhusiamo gani kati ya b.o.t na hao wanaoprint hela?
Niliwah msikia MTU wa bot akisema kuna kamoun tofaut tifaut znazotengeneza fedha zetu ya MF. Wanaotengeneza buku 2 ni tofaut na kampun inayotengeneza buku ten

Na hua inatangazwa tenda inashindaniwa
 
Niliwah msikia MTU wa bot akisema kuna kampun tofaut tifaut znazotengeneza fedha zetu ya MF. Wanaotengeneza buku 2 ni tofaut na kampun inayotengeneza buku ten

Na hua inatangazwa tenda inashindaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…