Mkuu Curious21,
Kumekua na kuongezeka kwa kasi kwa habaru juu ya TCU hasa kuhusiana na matokeo kutoka. Kwa bahati mbaya wengi wa wanao rusha habari hizo hurusha bila kuwa na taarifa kamili na kuwafanya kurusha mabandiko yasiyo jitosheleza, mengine yaliyosheheni uzushi na utani - hivyo kuleta usumbufu kwa wengi wanaofuatilia na kusubiri taarifa toka TCU.
Mabandiko ya aina hiyo yote yametolewa na kutupwa kupuni, na yataendelea kutolewa hadi pale habari ya uhakika itakapo rushwa.
Wasalam!