Hivi ni Nani anaziamini Tuzo za TMA?

Hivi ni Nani anaziamini Tuzo za TMA?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimeangalia utoaji wa Tuzo hizo, nilichobaini ni kwamba hazikuwa Tuzo kama tunavyoaminishwa, kiukweli ile ilikuwa sherehe ya Get Together ili Marafiki wapongezane

Wala haijulikani hata vigezo vilivyotumika, Ni kama vile kuna mtu alikusanya majina ya Marafiki zake na kuwagawia zawadi ili kila mmoja asikose, Ni kituko!

Hivi kuna anayeamini Tuzo zile?
 
Back
Top Bottom