Hivi ni nani hajiamini au aliesababisha yote haya??!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Inafahamika kwamba mwanaume anamfikisha kilele ni mwanaume "anaefaa" kwa dunia yetu ya leo.Tatizo linakuja namna ya kumfikisha kilele mwanamke!Wataam wa masuala hayo wamejaribu kuainisha namna ya kufanikisha zoezi hilo.Wapo waliosema maumbile ya mwanaume yanahusika(uume)yaani ukubwa wake.Lakini imekuja kufahamika wazi kuwa maumbile ni kwa sehemu ndogo sana kwani kuna mambo mengine yanahusika na lililo kubwa la kwanza ni hali ya kisaikolojia ya mwanamke huchangia kwa kiasi kikubwa,hata ufanye nini au uwe na uume wa aina gani kama mwanamke ana stress ni kazi bure.Lakini pamoja na ufahamu huo kuwa mwanamke anaweza kuridhishwa bila kuingiliwa(mfano ma-lesbian)lakini ni kwanini wanaume tumekua wateja wa dawa za kuongeza ukubwa wa tupu zetu?Au wanawake ndo chanzo?Yaani wanawalalamika kuna upungufu mahali?Pamoja na madhara ya kiafya yanayotupata dawa hizi zimekua zikiuzwa kama njugu,tatizo liko wapi?
 
Eiyer nakusalimia tu mdogo wangu. Vipi, kuna mtu anakuvunjia likizo yako ya kupenda na kupendwa?
 
Eiyer nakusalimia tu mdogo wangu. Vipi, kuna mtu anakuvunjia likizo yako ya kupenda na kupendwa?

Aah mie sijambo,hapana hakuna anaevunja ninataka kuwasaidia wenye tatizo hili!
 
Eiyer achana na mapenzi mambo ya kufikishwa au mguu wa mtoto waachie mabinti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…