Hivi ni nani mmiliki wa Ngurdoto hotel?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
kuuliza si ujinga, hivi ni nani mmiliki wa Ngurdoto Hotel iliyopo Arusha?? Hii ni zaidi ya Hotel hivyo sio mbaya kimjua walau mmiliki wake.
 
kuuliza si ujinga, hivi ni nani mmiliki wa Ngurdoto Hotel iliyopo Arusha?? Hii ni zaidi ya Hotel hivyo sio mbaya kimjua walau mmiliki wake.
Anaitwa BISHANGA, tena ni member hapa JF..............................LOL
 
Naskia ni marehem kanumba, lakini ndugu wa marehem wanalogana sasaivi ili waipate!
 
Mmiliki ni dada mmoja hv,mjanja wa mjini ila aliolewa na Ulimwengu,
Jina lake silikumbuki vizuri ila a.k.a yake naikumbuka ni Madame B.
 
Mmiliki ni huyu naniliu..Ah huyu jamaa anaitwaaaa...Shit jina lake eeh eti huyu jamaa mwenye hotel ya ngurdoto pale arusha unalikumbuka?(hapa namuuliza wife) akha mie cmjui bhana embu njoo chumbani bwana(amejibu hvyo)...Lol
 
kuuliza si ujinga, hivi ni nani mmiliki wa Ngurdoto Hotel iliyopo Arusha?? Hii ni zaidi ya Hotel hivyo sio mbaya kimjua walau mmiliki wake.

Ni zaidi ya Hotel? kisa ni ukubwa? kwa taarifa yako haina hadhi hata ya nyota nne kwa mujibu wa wataalam.
kuhusu mmiliki ni kampuni ya Impala group of hotels na mkurugenzi wake ni Awiyo Meleu Mrema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…