Nimemkumbuka mmiliki huyu Leo. Na kanisa lilivyokataa kumzika. Tukumbushane kwenda nyumba za ibada!mkuu Mamndenyi: upo?
za siku? dah umeadimika mpaka umekuwa mhenga sasa![emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu alikuwa ni Foreman tu wenyewe wapoMREMA wa Impala hotel hapo Arusha
Hili ndo jibu la ukweli mimi nishawahi kuishi nje USA RIVER nikaelezwa hivi hivi baada ya kuuliza swali kama hiliMREMA wa Impala hotel hapo Arusha
HANA KIKI SIKU HIZI BORA HATA DR SHIKA