Hivi ni nini maana ya neno gubu?

Hivi ni nini maana ya neno gubu?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Hello,

Wakuu, nataka wauliza eti maana ya neno tajwa hapo juu ni nini?

Mfano, ukisikia mtu anasema; Mtu 'A' ana gubu.

Je, ina imply what characteristic?
 
Kuongea Mara kwa Mara Jambo Hilo Hilo hususan Kama unamkanya mtu. Ameelewa lakini unarudia tena na tena.
 
3. Kutoa maelekezo / maagizo mengi kwa wakati mmoja.

Yaani mtu hajatekeleza hili umempa jingine.
 
Kuongea Mara kwa Mara Jambo Hilo Hilo hususan Kama unamkanya mtu. Ameelewa lakini unarudia tena na tena.
Gubu ni tabia ya kulaumulaumu na kunung'unikanung'unika kupita kiasi hata kwa mambo madogo tu.
 
Back
Top Bottom