Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Dec 1, 2019 #1 Hello, Wakuu, nataka wauliza eti maana ya neno tajwa hapo juu ni nini? Mfano, ukisikia mtu anasema; Mtu 'A' ana gubu. Je, ina imply what characteristic?
Hello, Wakuu, nataka wauliza eti maana ya neno tajwa hapo juu ni nini? Mfano, ukisikia mtu anasema; Mtu 'A' ana gubu. Je, ina imply what characteristic?
mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,952 Dec 1, 2019 #2 Kuongea Mara kwa Mara Jambo Hilo Hilo hususan Kama unamkanya mtu. Ameelewa lakini unarudia tena na tena.
Kuongea Mara kwa Mara Jambo Hilo Hilo hususan Kama unamkanya mtu. Ameelewa lakini unarudia tena na tena.
mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,952 Dec 1, 2019 #3 2. Sababu ndogo unagomba sana
mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,952 Dec 1, 2019 #4 3. Kutoa maelekezo / maagizo mengi kwa wakati mmoja. Yaani mtu hajatekeleza hili umempa jingine.
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Dec 1, 2019 Thread starter #5 mzee wa kasumba said: 3. Kutoa maelekezo / maagizo mengi kwa wakati mmoja. Yaani mtu hajatekeleza hili umempa jingine. Click to expand... mkuu , na ile hali ya mtu 'A' kutopendezwa na mafanikio ya mtu B, huwa inakuwaje?
mzee wa kasumba said: 3. Kutoa maelekezo / maagizo mengi kwa wakati mmoja. Yaani mtu hajatekeleza hili umempa jingine. Click to expand... mkuu , na ile hali ya mtu 'A' kutopendezwa na mafanikio ya mtu B, huwa inakuwaje?
mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,952 Dec 1, 2019 #6 Lexus SUV, Ile inaitwa HUSDA
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Dec 3, 2019 #7 mzee wa kasumba said: Kuongea Mara kwa Mara Jambo Hilo Hilo hususan Kama unamkanya mtu. Ameelewa lakini unarudia tena na tena. Click to expand... Gubu ni tabia ya kulaumulaumu na kunung'unikanung'unika kupita kiasi hata kwa mambo madogo tu.
mzee wa kasumba said: Kuongea Mara kwa Mara Jambo Hilo Hilo hususan Kama unamkanya mtu. Ameelewa lakini unarudia tena na tena. Click to expand... Gubu ni tabia ya kulaumulaumu na kunung'unikanung'unika kupita kiasi hata kwa mambo madogo tu.