Kocha hampendi.Kagere ni mshambuliaj mzur Sana tena anauwezo wa kufunga magor, lakn Cha kushangaza hachezeshwi,bench la ufund likiona muda umeisha ndo wanamwingza.
Mech ya Leo mim naamn Kagere angecheza muda mrefu angefunga goli
Sasa tatzo ni nin hapo kweny bench la ufundi ???
Kweli aysee hata huwa najiuliza sanaKagere ni mshambuliaj mzur Sana tena anauwezo wa kufunga magor, lakn Cha kushangaza hachezeshwi,bench la ufund likiona muda umeisha ndo wanamwingza.
Mech ya Leo mim naamn Kagere angecheza muda mrefu angefunga goli
Sasa tatzo ni nin hapo kweny bench la ufundi ???
Hahah na land alienationSababu za msingi ni zilezile tu.
1. Low wages
2. Lack of capital
3. Disunity
4. Poor weapons
5. Ignorance among african leaders
6. Poor beliefs
Una uhakika kacheza dakika 20, kafanyiwa sub Tena baada ya Bocco kuumiaKagere kacheza dakika almost 20 umeona hata kadribble mpira. Ni mshambuliaji mzuri ila hana msaada timu ikiwa haina mpira
Hajacheza dk 20,kaingzwa zkiwa zmebak tano,zkaongezwa zngne tano!! kwa kifup hajacheza kabsa,maana kwa hzo dk wachezaj wa Galax walikuwa wanajiangusha na kujifanya wameumia il kupoteza mudaKagere kacheza dakika almost 20 umeona hata kadribble mpira. Ni mshambuliaji mzuri ila hana msaada timu ikiwa haina mpira
Mimi nilifikiri Simba ndio katolewa kumbe ni Galaxy..Kuna tatizo sana kwenye bench la ufundi, Galax sio timu ya kuifunga Simba