kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Una maana gani boss?Japo mwanaume kupambana mambo ya apo kwama CHA KWAKO NDIO KINAKUSAIDIA.
Za kuambiwa changanya na za kwako
Kifupi NI SAHIHIUna maana gani boss?
NotedKifupi NI SAHIHI
SioNdio yule uliyemnunuliaga vyupi kipindi flani?
Wewe muulize tu..."una laki ya karibu hapo"...? Halafu tulia umsikilizie atajibu nini!Habari za leo.
Niko na hali mbaya kiuchumi,na msaada pekee ninaouona ni mchepuko wangu ndio naona anaweza kunipiga tafu,huyu maza alikua mke wa mtu akaachika so mimi nikawa najipigia kimyakimya,yeye binafsi hajawahi kuniomba pesa ila mara kadhaa nikiwa vizuri huwa namtoa tunapiga bia namuachia 50k au 30k inategemea na siku husika ntavyokua.
Sasa leo mimi niko hovyo, sina hata mia mbovu mfukoni.nimechekecha akili nikapata wazo nimuambie huyu mchepuko wangu anikopeshe kiasi flani cha fedha then nikikaa sawa ntamlipa.
So wakuu,hapa nikimuomba anikopeshe ntakua najidhalilisha au atanichukuliaje.
Kizinga nachotaka kumpiga ni zaidi ya hicho,nataka nimchomoe kama 500k hivi.Ruksa ndo utajua kama anafaa au laa.
Shida hao wanataka Kuja kulipwa baadae.wangu nilimpiga kizinga Cha elfu 20 akanitumia.
Zikapita wiki kadhaa na yeye ananiambia kakwama nikajua huyu anataka alipwe
Naanzaje sasa mkuu,wengine hatujui kuomba?Kama ni kiasi kidogo muombe tu badala ya kumkopa, kinadharia iliyojengeka kichwani ni vigumu kumkopesha mpenzi, kichwani yanakuja mapicha picha ya "sidhani kama atanirejeshea" hivyo kwa upande wake ataona bora asikukopeshe kwa kisingizio chochote kile kama pesa niliyokuwa imetoka kwa ajili ya jambo A, B na C ili kuepuka athari ya kutorejeshewa.
Muombe na si shida ukipewa hata kiasi chini ya lengo baada ya hapo utapata wazo lingine wapi ukope ili kukamilisha kiasi kusudiwa.
Dah,Mwambie naomba uniongezee kiasi fulani Cha pesa Kuna jambo unataka kulifanya na hicho kiasi kimepungua.
Ukikopa utajishushia thamani
Vaa viatu vya huyo mchepuko ungetoa hio hela😊Mwambie naomba uniongezee kiasi fulani Cha pesa Kuna jambo unataka kulifanya na hicho kiasi kimepungua.
Ukikopa utajishushia thamani
Utajua tu.Mambo bado.Nakuhakikishia utajua bila kufundishwa.Naanzaje sasa mkuu,wengine hatujui kuomba?
Nipe mbinu za kumuingia?Kama anazo unamkopa tu mzee
😀😀mambo yamenikaba shekhUtajua tu.Mambo bado.Nakuhakikishia utajua bila kufundishwa.