Hivi ni sahihi kumkopa mchepuko wako pesa?

Watu sijui mnapata wapi nguvu za kuwaomba wanawake hela. Fanya kama ushamuomba af kakunyima then utapata akili. Shida huleta maarifa.!!
 
Kama ni muelewa na yupo vizuri financially hawezi kusita kukusaidia.
 
Inategemea mpo close kiasi gani, unajua kuomba mtu pesa sio kitu rahisi ila ukaribu wenu ndio utakufanya ufikie hitimisho niombe au nisiombe.
 
Kizinga nachotaka kumpiga ni zaidi ya hicho,nataka nimchomoe kama 500k hivi.
Ebu nipe mbinu mkuu..
Laki5 si umarioo sasa huo, labda km mtaandikishiana km akikukopa na sio kukupa Bure, utaonekna mwanaume mchele mchele Kwa huo mshangazi
 
Naanzaje sasa mkuu,wengine hatujui kuomba?
Tumia njia ya mazungumzo yaliyozoeleka baina yenu, kama huwa mnatumia lugha za mkato na za mtaani mwambie tu "fanya maujanja hapo laki 2 ya chap"
Kama mna maongezi ya kiutu uzima nenda naye hivyo.
"Kipenzi, habari ya kazi na pole na majukumu, nisaidie laki mbili baby kuna jambo gumu limenifika, niwezeshe ili kuninusuru, please baby fanya hivyo mama!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…