Ni vizuri sanaa kushiriki/kusaidiana shughuli za ndani na mwenza wako si tu itawafanya kuwaweka karibu lakini as a man itaonesha jinsi gani unamjali mwenza au familia yenu kwa ujumla (being responsible ).
Unfortunately sio wanawake/wadada wote wenye kuona thamani ya jambo hilo π, i met with this girl sio tu alikuwa ana take advantage lakini baadae akaanza kuona kama ule ulikuwa wajibu wangu, like usipomsaidia au kufanya nae baadhi ya kazi basi atakununia na asizungumze kabisa na wewe ππ, kibaya zaidi zaidi siku nimekaa na rafiki zake wananihadithia jinsi gani nilivyokuwa mzuri wa kukorofisha jikoni na ninavyowajibika kwa shughuli za nyumbani, means huwa anawahadithia almost vitu vyote ninavyofanya ndani π€, guess what, kikichofuata baada ya hapo ni spana tu π§π tu.
Sipendagi ujinga mimii.