Hivi ni sahihi taasisi za fedha kusitishwa huduma siku za mapumzimko kitaifa?

Hivi ni sahihi taasisi za fedha kusitishwa huduma siku za mapumzimko kitaifa?

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,741
Za mda huu wakuu,
Naanza hoja bila kupoteza mda,
Kwa kawaida huwa tuna siku za kitaifa ambazi watu huwa wanatumia kupumzika Au kutokwenda kazini lakini kwa wakati huo huo siku hiyo watu huwa wanatumia kufanya kazi zingine za malipo kama kununua viwaja na vitu ambavyo huenda vinahitaji malipo makubwa, ila pia huwa kuna mahitaji madogo madogo ya dharura na wengine kufatilia mkopo na taarifa zao za fedha. na kwa vile watu huwa tunapitiwa na mawazo unaweza jikuta unajisahau kutoa pesa Siku ambayo ni Rasmi kutoa pesa hivyo kusababisha baadhi ya shughuli kukwama...
Naamini kwa sababu kama hizo ndio maana kuna baadhi ya mabenki yameanza kutoa Huduma hadi jumapili ili kukidhi mahitaji ya dharura..
Kwa hiyo mi naona ni bora Huduma za fedha zikafikilia kuwa na Huduma hadi za siku za kitaifa ili kuienzi kauli ya MH.RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA "HAPA KAZI TU!"
( malipo hadi uongeze uzalishaji,) na hiyo ni njia ya kuongeza uzalishaji
 
Naunga mkono hoja.ikumbukwe kuwa soko la fedha duniani halifungwi ndio maana hata ukitazama TV saa 8 usiku utaambiwa bei ya dola. Pia sisi tukipumzika wengine nje wanachapa kazi na uchumi wetu unategemea wa nchi za nje
 
  • Thanks
Reactions: lup
Naunga mkono hoja.ikumbukwe kuwa soko la fedha duniani halifungwi ndio maana hata ukitazama TV saa 8 usiku utaambiwa bei ya dola. Pia sisi tukipumzika wengine nje wanachapa kazi na uchumi wetu unategemea wa nchi za nje
Ina kera sana
 
Wewe upumzike na wenzako wafanye kazi..kuwa na huruma basi mkuu hvi unajua ni jinsi gani za kibenki zinavyochosha!? Na hao wanaofanya mpaka sikuhizo ujue ni overtime ndo inawavutia..social welfare ni muhimu bwana..
Wanaweza Fanya nusu na wenguni wakapumzika
 
Back
Top Bottom