Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Ikiwa ni siku chache zimepita tokea maazimisho ya siku ya wanawake duniani na hapa inchini kwetu ambayo iligubikwa na mfululizo wa vibweka,mbwembwe,tambo,mikwala/lawama dhidi ya wanaume, vitu ambavyo vilifanywa na wazi wazi na wanawake wanaojinasibu kuwa ni public figure na mfano wa kuigwa na wanawake wote eneo la uongozi.
Kada ya kiume imeshuhudia bila doubt yoyote mtazamo wa wanawake viongozi juu ya kada ya wanaume in general katika jamii. Its clear motive yao na malengo si kutafuta usawa tena bali ni kueliminate na kuharibu presence na influence ya kiume maeneo yote ya jamii,siasa,elimu,uchumi na kwengineko ambapo mwanaume ndie mshika dhamana.
Siku ambayo ilitakiwa kuwa siku ya tafakari ya uwepo wa mwanamke katika jamii na kuwapa mwangaza watoto wetu wa kiume kuwajua wanawake na wa kike kujifunza juu ya uanamke ghafla imegeuka kuwa siku ya kufanya " public reverse discrimination" dhidi ya wanaume, kuwadogosha watoto wa kiume na kudhihaki wanaume lakini pia kuiambia jamii namna wanawake especially waliopo katika uongozi namna wanajaribu kila kukicha kutokuona umuhimu wa uwepo wa wanaume katika jamii na kuunda utopian female/women only society. Speech zao hazipitishi sentensi mbili bila kuwataja wanaume kama chanzo au sababu ya maumivu ya wanawake au sababu ya wanawake kurudi nyuma.
Huwa natafakari juu ya miaka michache ijayo kama huu upuuzi utaendelea impact kwenye saikolojia ya watoto wetu especially watoto wa kiume in the short and long run period.
Kuna vitu vya kuhoji. Hivi kama wanajamii tumejiridhisha na afya za akili za hawa tunaowaita ni viongozi wa kike?
Ni kweli wapo pale kupigania masilahi ya jamii ikihusisha kutuonyesha wanaume mchango wa wanawake katika maeneo ambayo kweli wanaume tungehitaji uwepo wa wanawake kutupa sapoti tunayohitaji sio wanayolazimisha kutupa?
Je,hawa watu influence yao kama viongozi wa kike inapimwa katika mizani gani kutoka kwetu wanajamii tukijiridhisha kuwa wanafanya kazi inayolenga matarajio na uhitaji wa wanajamii kwa ujumla?
Ujengaji wao wa hoja hafifu zenye ukakasi na elements za ushindani na ubaguzi dhidi ya wanaume ndani yake, ni akina nani wanabariki na kuzihalalisha kuwa ni sahihi?
Kiukweli zamani nilikuwa naona siku ya wanawake ni siku muhimu katika jamii yetu maana niliona taswira ya utetezi wa mama zetu,bibi zetu na watoto wetu wa kike ila kwasasa ikifika hii siku huwa nashikwa na hasira,nakuwa very disappointed and aggravated ,nakwazika na kuchukizwa na kila kinachoendelea kwasababu ya mabadiliko ya contents za siku hii ambayo ilikuwa muhimu zamani. Kwasasa naona haina tofauti na siku ya LGBTQ parade na lengo lake ni kutoa matamko haramu yanayokiuka maadili ya jamii yet una yanalenga kudogosha watoto wetu wa kiume na kuharibu akili za watoto wetu wa kike.