Kuna baadhi ya
mambo yameshakuwa
kama ni sheria, mfano
chai na chapati mbili
Hahahshaaaa Pole kwa kulazimka kula chapati 2Kuna baadhi ya
mambo yameshakuwa
kama ni sheria, mfano
chai na chapati mbili
hahahaha jamani hivi ni stresi za maisha au?kama vitumbua ni vitatu
Nina jamaa moja bila chapati 9 maharage bakuli 1 na chai kikombe kikubwa. Basi hanywi chai !!!Kuna baadhi ya
mambo yameshakuwa
kama ni sheria, mfano
chai na chapati mbili
nadhani hii iko zaidi huko uswahilini kwenu sisi huku Lusaka ni mwendo wa bia kwa mkateKuna baadhi ya
mambo yameshakuwa
kama ni sheria, mfano
chai na chapati mbili
Hawajui Kama wengine hula hata 5!Aisee we acha tu ukiongeza ya tatu tu unashangaa wote ulio kaa nao jiran yako wanakutumbulia mimacho kama mjusi aliyebanwa na mrango
Kuna Baba wa rafiki yangu bila chapati 18 na thermos 2 za chai hapakalikiNina jamaa moja bila chapati 9 maharage bakuli 1 na chai kikombe kikubwa. Basi hanywi chai !!!
Ya kweli hayoKuna Baba wa rafiki yangu bila chapati 18 na thermos 2 za chai hapakaliki
Ya kweli mkuu huyo mdingi Ni very powerful japo Mzee Ila mmhhh!Ya kweli hayo
Ila nini tena mkuu?Ya kweli mkuu huyo mdingi Ni very powerful japo Mzee Ila mmhhh!