Hivi ni TFF kutokuwa wabunifu au ni hujuma?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nashindwa kuelewa Ligi kuu ya Tanzania kukosa mdhamini shida nini au TFF wanaweka gharama kubwa kiasi wadhamini wanashindwa?

Kama Azam ametoa 80ml kwa kila timu, je makampuni tuliyonayo yanshindwa kudhamini ligi?

Au wameshindwa kwenda hata nje ya nchi kutafuta udhamini wakuweza kudhamini ligi yenye kombe lenye thamani ya Tsh Bilioni 1 au hata Milioni 800?
 
Adhamini GSM Anaweza sana tu.
Atumie majina ya kampuni zake zingine.
Hizo pesa ndogo kwao
 
Au tuwape Serengeti larger...
 
Mkuu, wewe una wadhamini wangapi, walau hata wa mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…