Hivi ni ubora gani aliouonesha Kahata hadi kuwa Mchezaji bora?

Fohadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2020
Posts
772
Reaction score
2,421
Nikiwa kama mpenzi wa soka, nilifanikiwa kuangalia baadhi ya mechi za kombe la mapinduzi hasa zinazohusu timu kubwa za Simba na Yanga.

Niliangalia game ya Simba na mtibwa, binafsi sikuona ubora uliopelekea Kahata akapewa tuzo ya Man of the match siku ile (kwenye mechi na mtibwa).

Pia sikuona sababu iliyopelekea Niyonzima akawa Man of the match siku ya mechi ya azam na Yanga.

Jana pia nimeshangaa Kahata kuwa mchezaji bora wa mashindano. Hivi ni ubora gani aliouonesha Kahata hadi kuwa Mchezaji bora?

NB: Hii mada haihusiani na ushangiliaji wa timu. Inahusu ushabiki wa soka. Ningependa kupata maoni ya mashabiki wa soka, maoni ya washangiliaji hayatakiwi.

'ninja' aliye wazuia washambulia wa mikia fc a.k.a nguruwe fc kupiga hata shuti moja golini
Kwa hiyo unafikiri hao wachambuz waliangalia hiyo mechi moja tu ya leo ambyo hata hakuwa Man of the Match. Hiyo KAZI usingeiweza.

We unataka uchague kwa mahaba yako, wenzako hawatumii mahaba kuchagua mchezaji na ndo maana hata man of the match hakuipata
 
hata kama bado anatafuta CEO mzima anashindwa kuji- behave, anadhalilisha u-CEO na uislam bwana!......
 
Nikiwa kama mpenzi wa soka, nilifanikiwa kuangalia baadhi ya mechi za kombe la mapinduzi hasa zinazohusu timu kubwa za Simba na Yanga.

Niliangalia game ya Simba na mtibwa, binafsi sikuona ubora uliopelekea Kahata akapewa tuzo ya Man of the match siku ile (kwenye mechi na mtibwa).

Pia sikuona sababu iliyopelekea Niyonzima akawa Man of the match siku ya mechi ya azam na Yanga.

Jana pia nimeshangaa Kahata kuwa mchezaji bora wa mashindano. Hivi ni ubora gani aliouonesha Kahata hadi kuwa Mchezaji bora?

NB: Hii mada haihusiani na ushangiliaji wa timu. Inahusu ushabiki wa soka. Ningependa kupata maoni ya mashabiki wa soka, maoni ya washangiliaji hayatakiwi.

Mpira umeingiliwa na Siasa, hata mimi nashangaa Kahata anawezaje kuwa mchezaji bora wa mashindano!? labda wanaotoa zawadi ndio wanaochagua na sidhani kama ni watu wa Mpira...!![emoji41][emoji41]
 
Nikiwa kama mpenzi wa soka, nilifanikiwa kuangalia baadhi ya mechi za kombe la mapinduzi hasa zinazohusu timu kubwa za Simba na Yanga.

Niliangalia game ya Simba na mtibwa, binafsi sikuona ubora uliopelekea Kahata akapewa tuzo ya Man of the match siku ile (kwenye mechi na mtibwa).

Pia sikuona sababu iliyopelekea Niyonzima akawa Man of the match siku ya mechi ya azam na Yanga.

Jana pia nimeshangaa Kahata kuwa mchezaji bora wa mashindano. Hivi ni ubora gani aliouonesha Kahata hadi kuwa Mchezaji bora?

NB: Hii mada haihusiani na ushangiliaji wa timu. Inahusu ushabiki wa soka. Ningependa kupata maoni ya mashabiki wa soka, maoni ya washangiliaji hayatakiwi.

Weka wwe kwanza vgezo kuhusu kahata kutofaa kushinda ALICHOSHINDA.

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Mimi pia sikuona ubora wa Niyo na Kahata. Bora wangepewa Onyango na Ninja
 
Back
Top Bottom