Hivi ni uzembe wa mdomo au maksudi?

hivi kibo10 unakuraga mchere???au wari??
mi napenda kirimo cha mchere na mahalage mologolo

za asubuhi rakini
 

mkuu kumbuka kuna watu ambao kutokana na mother tongue zao huwa hawana baadhi ya sounds.

mfano
wachaga wachaga hawana sound Zii ila wana sound 'nsu'
hawana sound 'p' ila wana sound 'be'

waluguru hawana sound "r" ila wana 'l' n.k

nafikiri ni jambo zuri kujifunza hizi sounds lkn hatupaswi kuwalaumu na kusema ni kusudi sana manake ndivyo walivyozoea.
 
Reactions: RR
mkuu kila mmoja na yake haupo kwenye x na li upo kwingine mwisho wa siku wote tunawekwa kundi 1 tu niwaharibifu wa lugha
Kamwe haitatokea tukawa kundi moja ht siku moja,kuna watu hasa wa maeneo ya musoma. Kwao R haziepukiki km ilivyo kwa wasukuma wenzangu zile GA,nilikuwaga,niliendaga n.k
 

mkuu mimi sitoki kanda ya ziwa bana.
 

Mwalimu gfsonwin mchango wako uko poa.....
Kinachonikwaza sio mtu kukosea kuongea.....ni kukosea hadi kuandika....kwamba 'keyboards' zinachanganya? Au vidole navyo vinaadhiriwa na lugha mama.?

Namshukuru mwanzisha mada, ni vema tukaepuka makosa ya kizembe kwani makosa haya hatimae huwa mazoea.

Asubuhi na sio hasubuhi
Hujajibu na si ujajibu
Lori na si roli (huyu sijui hata anakua anwaza nini) nk.
 
Last edited by a moderator:

Hivi ni harusi au arusi?
Hebu au embu?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: RR
Katika matumizi ya kiswahili, ili kufanya kiwe na tija tusirekebishe mtu mmoja mmoja ila jamii kwa ujumla. Mmeruhusu kiswahili kibovu kitumike kwenye matangazo ya biashara mf. jero, jiti nk. kuchanganya ndimi kumeruhusiwa mf. bure pack. Sasa mtadeal na mtu mmoja mmoja mnadhani ndio mnatatua tatizo. sisemi tusirekebishane ila kama kweli tuna nia ya dhati na lugha yetu, basi juhudi za dhati zinahitajika. nilishaweka njia za kuweza kukuza kiswahili walau kwa kadiri fulani.
Code:
Yerick Nyerere
nilimueleza mengi katika hili
 

Kuna yaliyo ndani ya uwezo wetu.....sio mbaya kuanza na haya madogo!
 
Sisi wa huku bk r na l ni shida kidogo mtuvumilie.. hivi ni chakura au chakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…