Hivi ni vikosi vya watani wa jadi yani Simba Sports Club na Dar Young African msimu huu wa league 2022/2023

Simba wakipata tena point hata moja itakuwa ni matusi makubwa kwa yanga
 
Ukuta ni mbovu Yanga.... Viandunje vimejaa...! Nondo Siku hizi uchochoro Na Djuma Keshajizeekea kawa mzito....!
Hayo ni Maoni Yangu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…