rajab mush
Member
- Aug 18, 2019
- 30
- 20
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe ni mambo ya nguvu tu huna mdaQuartz crystal stones.. Viweke vizuri ni kinga dhidi ya nguvu hasi
Jr[emoji769]
Maziwa yasipo ktk aisee navinywa na maziwa take[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28]Chuku maziwa flesh ambayo hayajachanganywa maji, alafu chukua hivo vpande vitumbukize,, maziwa yakikatika naomba unitafute nikupe mwongozo. Yasipokatika basi vitupe tu.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa boss [emoji1732]Dogo ayo Ni mawe kwenye mchanga wala hayana samani yoyote katika madini kiufupi ni kokoto tuuh
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hato ni mawe tuu changarawe za mchanga ziliingiaga kwenye mfuko katika harakati za kusafirishwa na maji ule mchanga ulipoondoshwa wote hayo yakabaki huo mng'ao ni ile msuguano ndani ya mfuko hadi ikatokea hivyo.ingekuwa ni dili hata huyo alieficha huko mtoni tena kwenye maji namwona mwehu.Nimeokota maeneo haya ,,,tanga korogwe nikiwa nafny matembezi ya mazingira View attachment 1452348View attachment 1452349
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha, Mzee huna mudaQuartz crystal stones.. Viweke vizuri ni kinga dhidi ya nguvu hasi
Jr[emoji769]
Naomba tafadhali japo machacheNna ndoga hizo Sahv haya mawe nna bahati nayo sana kuyapata
Ova
View attachment 1452487
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukionana ntakupatiaNaomba tafadhali japo machache
Jr[emoji769]