Chukua karatasi nyeupe na kalamu....weka kidoti kidogo kwenye karatasi kwa kutumia kalamu yako....weka jiwe lako juu ya hicho kidoti....angalia hicho kidoti kupitia jiwe lako....ukiona hukioni kidoti...nenda kauze almasi yako.
Hahaha b[emoji125]Chukua karatasi nyeupe na kalamu....weka kidoti kidogo kwenye karatasi kwa kutumia kalamu yako....weka jiwe lako juu ya hicho kidoti....angalia hicho kidoti kupitia jiwe lako....ukiona hukioni kidoti...nenda kauze almasi yako.
Safi sn mkuuuUshatajirika mkuu. Usinisahau kwenye ufalme wako niwe hata mpambe tu.
Sawa mkuuUshatajirika mkuu. Usinisahau kwenye ufalme wako niwe hata mpambe tu.
Duh,,,, wew n mtaalaam snChukua karatasi nyeupe na kalamu....weka kidoti kidogo kwenye karatasi kwa kutumia kalamu yako....weka jiwe lako juu ya hicho kidoti....angalia hicho kidoti kupitia jiwe lako....ukiona hukioni kidoti...nenda kauze almasi yako.
Hapana huo sio uganga wala ushirikina
Dogo ayo Ni mawe kwenye mchanga wala hayana samani yoyote katika madini kiufupi ni kokoto tuuh
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Stones of the New ConsciousnessWazee habari ya asubuhi. Hebu tujadili hiki ni kitu gani. Nimeokota hivi vijiwe vimeefadhiwa katika kitu maalum nikaona nisivitupe kwanza nipate wabunifu labda wanavijua[emoji848][emoji3166]
View attachment 1452308View attachment 1452310View attachment 1452311View attachment 1452312View attachment 1452313
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Mush wahi dukani yu hayo hayana thamani. umefanya vizuri kuuliza usije ukatupa pesa.Huenda ikawa n chupa au ata n mawe yakawaida tuh ila ,,,uhifadhi wake ndio unanipa mashaka
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee Mshana mm nimemwambia Mzee Mush awahi dukani tu asije akapoteza sehemu zote mbili. kumbe ni kinga ??Quartz crystal stones.. Viweke vizuri ni kinga dhidi ya nguvu hasi
Jr[emoji769]
Stones of the New Consciousness
hahahaha hapo Mush utazingua ukifa tutashindwa kusafikirisha kwenda Rombo kipindi hiki cha covid 19.Maziwa yasipo ktk aisee navinywa na maziwa take[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee Mshana mm nimemwambia Mzee Mush awahi dukani tu asije akapoteza sehemu zote mbili. kumbe ni kinga ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Google,,,,upo sahihi kbs[emoji144]mzee Mshana mm nimemwambia Mzee Mush awahi dukani tu asije akapoteza sehemu zote mbili. kumbe ni kinga ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ,,,,,,vijiwe ndio chanzo aiseee me tyr nimeshaweka oda ya kula kitimoto na *washauri wangu* na bia nying sn[emoji481][emoji482][emoji481][emoji482][emoji482]hahahaha hapo Mush utazingua ukifa tutashindwa kusafikirisha kwenda Rombo kipindi hiki cha covid 19.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa MangiHahahaha ,,,,,,vijiwe ndio chanzo aiseee me tyr nimeshaweka oda ya kula kitimoto na *washauri wangu* na bia nying sn[emoji481][emoji482][emoji481][emoji482][emoji482]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tuache utani madini km Ruby au diamond
Yn namaanish wanapima au wanafny vp ili kukupa thamn ya jiwe lako