Hivi ni yepi madhara ya pethidine?

Hivi ni yepi madhara ya pethidine?

pethidine 2

Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
20
Reaction score
12
Kwa nijuavyo pethidine ni dawa ya maumivu ya daraja la opioid ambayo mara nyingi hutumika theatre wakati Mgonjwa akifanyiwa operation na baadae hutumika kwa Mgonjwa huyo huyo ndani ya masaa 24 kuzuia maumivu. Inasemekana kuwa dawa hii ina asili ya kulevya ( addiction) endapo itatumiwa kwa muda mrefu. Naomba kujua ni kwa kiwango gani na muda gani madhara huanza kujitokeza?

Nawasilisha kwenu.
 
Back
Top Bottom