Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
sijamuona siku nyingi sana aiseeWakuu naomba kujua kama mwanajukwaa mwenzetu kama yupo mana kimya kingi isijekuwa nissan nyeupe ishamfuatilia kimya kimya.
Nawasilisha.
mkuu kuna watu wanauliza mbona hutokei kwenye jukwa LA siasa?Aliahidi atarudi mpaka hapo The Bold atakapomaliza BAN yake...
Baada ya ubavu wake The bold kula umeme mpaka Oktoba na yeye akajilipua