SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Kwani wewe utakuwa bookworm hadi ushindwe kuwa na muda kidogo wa ku peep Jf?SubiriJibu said:Ninakaribia kuanza kusoma postgraduate na nitakuwa huko kwa zaidi ya miezi tisa. Nitajifungia mitandao mingi ikiwemo Jamii Forum.
Je, nitakosa nini nikiikosa Jamii Forum kwa miezi yote zaidi ya tisa?
Na uache kugongana ndio utajua umuhimu wa jamii forumNinakaribia kuanza kusoma postgraduate na nitakuwa huko kwa zaidi ya miezi tisa. Nitajifungia mitandao mingi ikiwemo Jamii Forum.
Je, nitakosa nini nikiikosa Jamii Forum kwa miezi yote zaidi ya tisa?
Kuna michezo ukianza huachi
utakosa right imformation and knowledge
kwa zile utakua umeponaNa zile kejeli za matis kadhaa je?