Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Wapo mkuu niliwahi fanya hii kazi na jamaa flan in 2014 na tulipata clients sema hatukuwa serious sana baadae kila mtu akawa busy na mambo yake.Habarini wakuu
Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa.
Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kutumia ujuzi huu nilionao kuniingizia kipato zaidi.
Je nikifungua digital marketing agency apa Dar es Salaam, clients wapo? Au ntakua nimewekeza sehem ambayo haina uhakika.
Tafadhalini naomba wajibu wenye ujuzi tu ili tusaidiane.
Asante kakaWapo mkuu niliwahi fanya hii kazi na jamaa flan in 2014 na tulipata clients sema hatukuwa serious sana baadae kila mtu akawa busy na mambo yake.