Huu utandawazi ndio unaosumbua..na ndio unaofanya 'eti siku hizi demu hatongozwi'
raha ya mapenzi ni kuyatendea haki, manamke lazima umtongoze, wa jameni kutongoza pia kuna taha yake!
Mpaka mtoto anapokuja kuingia line mtu unasikia raha...it is a creational process,nice approach,good talking,targeting,hunting eeh hata kama ni mkeo unasema da wife nilikuhangaikia....and feel proud of her.
Wale ma 'domo zege' hoja kama hizi ndio hawataki kabisa kusikia but this is nature, its good to apply and feel it...!
Angalizo...! uongo, ukweli na propaganda nyiiiiingi hizo zote mbwembwe tu...! mpira dk tisini