Hivi nikwanini inakuwa hivi mimi sijui nasijui kama na wewe unajua!!

Kumbe huwa mnadanganya eeeh! Kwa bahati mbaya mimi huwa mu wazi sana kwa hawa kina dada, ila ninachoambulia ni kuwakosa. Yaelekea hawa ndugu zetu wanastushwa na unapowatamkia hitaji lako kwao. Nadhani ndio maana wanaume wengi inabidi waweke na kauwongo kidogo ili kunogesha.
 
Mkuu hawa bidadaz wa kizazi cha dot com unaweza kujikuta we umejikunja unahangaika kumbe wenzio wanapewa mzigo tu kila siku. Kalaghabhao........Na kwa taarifa yako hawa madada wakishaona we unajiona mstaarabu tongoza nyiiiingi basi na wenyewe wanajida wagumu halafu wanakuwa wanakulia vihela vyako tu. By the way sio wote ila wengi wao hasa hivi vibintiz vya chuo na maeneo kama hayo.
 
Mkuu hii style ya kutongoza kwa kutoa maneno kibao, watu wazima tulishaacha.......sana sana watu huwa tunafanya mitoko stori za hapa na pale halafu mwisho wa siku mabusu moto moto sweet baby na vitu kama hvyo mchezo umeisha. Hivi kwanza huwa mnaongea nini wakati mnatongoza kwa stori ndeeeeeefu?
 
tena mimi ukinijia na gia ya kwamba una gari, sijui nyumba ndio nakupotezea kabisa sababu wengi mnadhani tunapenda magari na nyumba. ha ha ha ha chezea independent woman. njoo ujieleze kama ulivyo no longo longo za uwongo
Huwa napenda kutongoza totoz zenye mind set kama yako..........halafu sasa huwa nang'oa mzigo kiulaini kabisaaaaaa, na zaidi huwa hakuna cost involved lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…