Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Habarini za mda huu wataalam wa jukwaa hili, Kwamda wa takriban mwezi1 uliopita nilikutana na demu1, nikaendanae hadi getoni kwangu nikamtongoza, baada ya kumtongoza kwamuda wakutosha akanijibu kuwa "nimekubali ila ninasiku3 tu tangu nivunje yai(yaani tangu sikuzake zipite)", wakatihuo tulikuwa tumelala kitandani, mimi nikwawa naendelea kumpapasa mwiliwake, nanilikuwa nimelala juu ya tumbo lake nakumvua sketi akawa amebaki na chupi tu, baada ya kumpapasa kwamda wakutosha,nikajikuta nimeachia mzigo(nyege),mzigo huo nimeutoa juu ya chupi lakini nikwenye maeneo ya **** lake. Hivi leo ananiambia umenipa mimba, naombeni ushauri wenu nikweli jambo kamahilo linaweza kutokea?
 
Inawezekana kwakua wakati yai likiwa limeiva kuna hormon huwa inatolewa inayovuta mbegu kuelekea sehem yai liliko kwa hyo mzee hapo umesababisha /umemeza bila kutafuna hyo hahahaaa hongera sana
 
masai dada ni pm fasta hata me najihisi kama wewe,mja hunena muungwana hutenda njoo tutende
 
Kilichonifanya nilipende somo la biolojia wakati huo ni ile topic ya sexual reproduction
 
mmmh kweli shule zimefungwa kama ulimshika muda huo huo ndani na huku umechafuka wazungu anaweza pata ila juu ya chupi hapana. na huyo msichana kakuona wewe kiazi kweli.
 
Inawezekana mimba kwa manii yako kwenye mfumo wa kimiminika kwahiyo ukipiz juu ya chup ya dent yakataamba uken mimba inatungwa
 
Back
Top Bottom