Nimelitambua hili japo kwa kuchelewa sana. Mwendo mdundoKwa kawaida, kama watu wakawaida wasipo kuelewa jua wewe ni tofauti nao.... kwa maana wewe ni genius.. introvert person.
Akili yako ni kubwa sana.. sema itulize ubongo ikwambie wewe ukoje.
Mkuu kama huna ushauri bora ukae tu kimya. Usipende kuleta mzaha kwenye masuala yanayohusu afya ya mtukama kweli hauna akili nenda kaonje sumu ya panya alafu ulete mrejesho