TFDA ishavunjwa saiz mamlaka ya dawa na mamlaka ya chakula vinajitegemeaInakuwa Ngumu sababu huna Kibali cha kuorder dawa Toka nje lakini pia Ukija na dawa kutoka nje lazima hizo dawa zionekane hazipo kabisa bongo na utachukua dose ya siku chache tu sababu nyingine utazipata kwenye Destination kama zipo kama hazipo lazima uwe na kibali cha TFDA hasa kama ni dawa kiasi kikubwa. Hii ni kuzuia usafirishwaji wa madawa ya kulevya sababu mtu anaweza sema ni Amoxycilin kumbe ndani kuna Cocaine.

Yaah najua inaitwa TMDA ilikuwa error tu mkuuTFDA ishavunjwa saiz mamlaka ya dawa na mamlaka ya chakula vinajitegemea
pw pw mzee wa "uzi pendwa hapa jf"Yaah najua inaitwa TMDA ilikuwa error tu mkuu