Hivi ninaweza kufanya kazi Kisarawe na nikawa naishi Kigamboni?

Hivi ninaweza kufanya kazi Kisarawe na nikawa naishi Kigamboni?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Wakuu naombeni msaada wenu, nimepata kibarua hapo Kisarawe ila makazi yangu ni huku Kigamboni. Naweza kwenda Kisarawe na kurudi kila siku? Ikumbukwe sina usafiri binafsi maana nisije nikaiga mtu fulani hivi ambaye anafanya kazi Kisarawe ila anaishi Kigamboni.
Karibuni....
 
Back
Top Bottom