Wakuu naombeni msaada wenu, nimepata kibarua hapo Kisarawe ila makazi yangu ni huku Kigamboni. Naweza kwenda Kisarawe na kurudi kila siku? Ikumbukwe sina usafiri binafsi maana nisije nikaiga mtu fulani hivi ambaye anafanya kazi Kisarawe ila anaishi Kigamboni.
Karibuni....