hivi nini kilitokea kwa Mrisho Ngassa kwenye mechi za majaribio?

mponjoly

Member
Joined
Oct 4, 2009
Posts
33
Reaction score
1
niko mbali naTz, nje Tz kama miezi tisa hivi, nilipoondoka kulikuwa na fununu za mlisho ngassa kawin deal kwenda kucheza soka la kulipwa majuu ila story naona imefifia.nini kulikoni?
 
niko mbali naTz, nje Tz kama miezi tisa hivi, nilipoondoka kulikuwa na fununu za mlisho ngassa kawin deal kwenda kucheza soka la kulipwa majuu ila story naona imefifia.nini kulikoni?

Stamina hakuna mkuu. Kunywa chai na maboga wapi na wapi. Alichemsha, sasa anakipiga jangwani akichuana na kina Juma Kaseja.
 
Stamina hakuna mkuu. Kunywa chai na maboga wapi na wapi. Alichemsha, sasa anakipiga jangwani akichuana na kina Juma Kaseja.
Tatizo stamina au ni urefu or kimo?
 
Baada ya kufika kule wale jamaa wakampa mrisho ngassa zoezi la kukimbia na mpira huku umeunatisha kwenye kisigino akashindwa, basi wakamwambia rudi kwenu ukabutue kama mlivyozoea kufanya na kushinda mechi za kununua!jamaa alirudi, yupo tunabanana naye kwenye chips za mafuta ya transfoma hapa bongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…