Pumba Master
Senior Member
- Jan 19, 2018
- 144
- 176
Niajee wakuu!
.
Ningependa kujua tu kua,
Nini kinaendelea kati ya diamond na baadhi ya media? Maana kuna baadhi ya media vinaonekana kama kumchunia..
Kama vile clouds,millard ayo..etc
Toa maoni yako
.
Ningependa kujua tu kua,
Nini kinaendelea kati ya diamond na baadhi ya media? Maana kuna baadhi ya media vinaonekana kama kumchunia..
Kama vile clouds,millard ayo..etc
Toa maoni yako