Pumba Master
Senior Member
- Jan 19, 2018
- 144
- 176
Wal msishangae ndo thread yak ya kwanz so uwezi jua anatest
Si kwa mashudu ulieandika
Huku siyo Instagram
Ni chuki na roho mbaya za mmoja kutaka kumtawala mwingine milele.....na hao wakina millardayo nao wamoto kwenye mkumbo huo huo...Ruge ni shit sana, anataka kuabudiwa with every artist na ndiyo maana wameenda ku launch albamu Nairobi. Jide she wanted to fight but lost, sasa ngoja tuone huyu...Niajee wakuu!
.
Ningependa kujua tu kua,
Nini kinaendelea kati ya diamond na baadhi ya media? Maana kuna baadhi ya media vinaonekana kama kumchunia..
Kama vile clouds,millard ayo..etc
Toa maoni yako
"Pale inapotokea anaekutumikisha na kukunyonya na kufaidika kupitia unachokifanya ashuhudie live unaikata mirija yake na kujiinua kiuchumi zaidi na kumtishia kumpiku kiuchumi lazima figisu ziwepo na chuki pia.Niajee wakuu!
.
Ningependa kujua tu kua,
Nini kinaendelea kati ya diamond na baadhi ya media? Maana kuna baadhi ya media vinaonekana kama kumchunia..
Kama vile clouds,millard ayo..etc
Toa maoni yako
Niajee wakuu!
.
Ningependa kujua tu kua,
Nini kinaendelea kati ya diamond na baadhi ya media? Maana kuna baadhi ya media vinaonekana kama kumchunia..
Kama vile clouds,millard ayo..etc
Toa maoni yako
Muulize Ruge