Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Wanaishia kugongwa na wahuni na vitoto, mwisho wa siku wanajioa mwenyewe kama Shilole, mahali katoa mwenyewe, dogo anamsitiri tu lkn ndoa hamna pale .Kuwaoa wanawake kama hawa labda uwe na moyo kama wale wanaume aliowaimba juma nature "wenye nguvu za simba na wasiogopa risasi".Pamoja K haina makombo wala missed call lkn K za hawa zimetumika, yaani kama gari basi yale MAMBAULA, yanayoenda porini kuchukua mkaa.
 
Usikute alikuwa mwanacha wa lile lichama la wajenzi! sasa labda mkataba umeisha anatakiwa akafanye kazi huko kwenye ikulu yao!
He!!! kumbe WAJENZI HURU nao wana IKULU ..... nilikuwa sijuagi aseee .... by the way akiitwa IKULU si ndo powa ... mana si RAHA MUSTAREHE tu huko?
 
Heshima ya mtoto wa kike na wa kiume ni siku kuwa na family yake sasa kwa bahati mbaya hawa wanawake muda wao yaani prime time ni mfupi sana kwa bahati mbaya wanauchezea vibaya kujifanya wako huru wana vipesa wakija kushtuka umri umeenda. wanadhani maisha ni vipesa tu wakati ni zaidi ya hivyo ni kuwa na stable family na partner. na bahati mbaya wanaanza mabalaa katika umri mdogo mpaka wakifika prime time wamechoka mbaya sasa imagine wakifika 35+ scrap vizee. wewe kutwa kubadilisha wanaume nani huyo atakuja kukuowa. wanaume watakuchezea siku wakitaka kuowa wanatafuta kwa umakini.
 
Usikute alikuwa mwanacha wa lile lichama la wajenzi! sasa labda mkataba umeisha anatakiwa akafanye kazi huko kwenye ikulu yao!
Sure sir..na Mimi nimefikiri ivoivo...its their time to take her soul...manake wajamaa wale hawatakagi utani mda ukifika
 
He!!! kumbe WAJENZI HURU nao wana IKULU ..... nilikuwa sijuagi aseee .... by the way akiitwa IKULU si ndo powa ... mana si RAHA MUSTAREHE tu huko?
Weee...sio ikulu ya raisi...unapouza nafsi..inamaana utakula vyao mda Fulani..time ikifika unaenda kuwatumikia uku ukiwa umekufa katka hali ya kuchukuliwa na wao
 
kuna siku kaandika anakereka kwenda ukweni afu akute wamepika maharage au cabbage, kipindi hicho alikua anatoka na GK ha ha ha sa sijui kwao GK ndo alikua anakuta hivo
Lohhhh...kama aliandika hayo aiseehh alikosea kwanza kamdharau mpnz wake jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…