Hivi nini kinafanya haya magari yapendwe?

Hivi nini kinafanya haya magari yapendwe?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Probox, Sienta, Raum, Spacio naona yamezagaa mjini, mbona yana sura mbaya? Nini watu wanayapendea?
 
Probox, Sienta, Raum, Spacio naona yamezagaa mjini, mbona yana sura mbaya? Nini watu wanayapendea?

Wewe una gari gani mkuu, tuanzie hapo kwanza.
Ndio maana kuna aina tofauti tofauti za magari ili kukidhi hitaji la kila mmoja kutokana na uwezo wa kila mmoja.
 
yawezekana yanatumia maji ya bahari mkuu hivyo kufanya gharama zake kuwa chini kuliko yanayotumia mafuta
 
Mkuu usichanganyikiwe si kwamba watu hawayaoni ma benz ma bmw na ma range tatizo ni wese kwa matumizi ya kila siku.
 
Nani kasema zinapendwa?
Ukiona "dagaa" Na mlenda kwa ugali vinaliwa kwa wingi utasema Ni kupendwa??
Check your economic classes mkuu...
Insists on "Giffen" goods,
 
wengi hawana taarifa za hayo magari unayotaka waendeshe wamebaki kukaririshana tuu yanakula sana mafuta,E 90 bmw inakula mafuta kawaida tuu ni sport engine na mercedes ndio hivyo hivyo ulaji upo chini haya magari kuanzia 2007 kuendelea wamebana matumizi makubwa ya mafuta kwa magari shida iliyopo kuwa na kodi kubwa ndio maana tunaangua kwenye hizo spacio sijui vits..
 
Back
Top Bottom