Wewe una gari gani mkuu, tuanzie hapo kwanza.
Ndio maana kuna aina tofauti tofauti za magari ili kukidhi hitaji la kila mmoja kutokana na uwezo wa kila mmoja.
Nani kasema zinapendwa?
Ukiona "dagaa" Na mlenda kwa ugali vinaliwa kwa wingi utasema Ni kupendwa??
Check your economic classes mkuu...
Insists on "Giffen" goods,
wengi hawana taarifa za hayo magari unayotaka waendeshe wamebaki kukaririshana tuu yanakula sana mafuta,E 90 bmw inakula mafuta kawaida tuu ni sport engine na mercedes ndio hivyo hivyo ulaji upo chini haya magari kuanzia 2007 kuendelea wamebana matumizi makubwa ya mafuta kwa magari shida iliyopo kuwa na kodi kubwa ndio maana tunaangua kwenye hizo spacio sijui vits..