Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Niko mbioni kununua pikipiki au baiskeli hizi za kuchaji. Hii ninayotaka kununua inatembea km 60 then ndo itatakiwa ichajiwe. Sasa nilichokiwaza ni hiki, vipi kama hiki kifaa nikikiunganisha na solar panel ya watt 100 ambayo itakuwa kama paa, so itanikinga Kwa jua. Then nifunge na charger Controler kisha nipeleke waya kwenye betri. Wajuzi wameshajua target yangu ni nini,
Je, hili zoezi litafanikiwa???
Je, hili zoezi litafanikiwa???