Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mara nyingi nimekutana na hili neno "shemela" kwenye mitandao ya kijamii likitumika lakini kila nikitafuta maana yake siipati.
Ebu nijuze wana jamvi
Ebu nijuze wana jamvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15][emoji15]shemela-shemeji lake
Shemela mimi nilidhani limetokana na lugha ya kihaya maana yake pendeza/upendeze
shemela-shemeji lake
shemale
Sikuwahi kujua hili kabisa😂😂😂Shemela ni shemeji.
Ila ukiitwa hili jina ujue unachorwa tu, na in wazi kabisa mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayefahamika na huyo aliyekuita.
Hakuna maana yeyote, ni uzushi tu wa WaTz kuzusha maneno yasiyo na maana.Mara nyingi nimekutana na hili neno "shemela" kwenye mitandao ya kijamii likitumika lakini kila nikitafuta maana yake siipati.
Ebu nijuze wana jamvi
Pendeza (Kihaya)Mara nyingi nimekutana na hili neno "shemela" kwenye mitandao ya kijamii likitumika lakini kila nikitafuta maana yake siipati.
Ebu nijuze wana jamvi