Hivi ninyi wanawake ni nani aliyewaambia kuwa sisi wanaume ni mafundi wa kila kitu.

kibovu kichwa

Senior Member
Joined
May 17, 2019
Posts
145
Reaction score
105
Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime naitwa mimi wakati mi sijasomea umeme wala ufundi wowote. Huyo shemela wenu ye ndo mpk viatu vikikatika anataka nimtengenezee mimi. Hivi aliyewaambia si wanaume mafundi wa kila kitu nani?
 
Ukiwa kama mwanaume inabid ujue vitu vingi kwa sababu by nature mwanaume ni kiongozi kwa hiyo mimi naona ni haki yao kukufata mwanaume.
Otherwise ukimbie.
 
Ukiona hivyo ni mtu unayeaminika...hili nalo ni la kulalamikia kweli?
Lazima alalamike haiwezekani aaminike kwenye majukumu mazito kama hayo halafu inapofika kwenye majukumu ya msingi hawamwiti 😀😀😀
Mfano kuna ugumu gani wao wasimwite atoe escot ya ulinzi kitandani
Aukuwaogesha bafuni
Huu ni uongo
 
Inategemea na kazi unayo fanya kama wewe ni dereva bodaboda hadi kuku wakikuona wajuwa unafahamu dawa ya kuwatibia.
 
Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime naitwa mimi wakati mi sijasomea umeme wala ufundi wowote. Huyo shemela wenu ye ndo mpk viatu vikikatika anataka nimtengenezee mimi. Hivi aliyewaambia si wanaume mafundi wa kila kitu nani?
Ndio maana ukaitwa mwanaume! Au wewe ni mwanaume wa dar?
 
Wewe ufundi Tu unalalamika wakati wengine tumeshakua madaktari wa familia za watu,, mtu akiugua breki ya kwanza mlangoni kwangu kuomba ushauri
 
😀😀😀yaani kama mimi ukiona mtu kapeleka kitu kwa fundi basi ni hadi mimi niwe nimetoa go ahead? Vinginevyo atakaa nacho hata week hadi nipatikane.
 
Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime naitwa mimi wakati mi sijasomea umeme wala ufundi wowote. Huyo shemela wenu ye ndo mpk viatu vikikatika anataka nimtengenezee mimi. Hivi aliyewaambia si wanaume mafundi wa kila kitu nani?

Si kama wanataka wewe utengeneze, sema tu hujawaelewa lengo lao ni nini. Wao wanakuletea shida zao ili wewe utatue kwa gharama zako, ulipie kila kitu kwa hela zako huku zao wakizisevu kwa ajili ya kununua miwigi ya watu waliokufa.
 
Mimi hata kuchinja na kuchuna mbuzi ni mm.kutangeneza milango
 
mkuu ulikosewa kuumbwa mwanaume nafasi haujaifit kabisa
 
🤣🤣🤣 Aisee... Kitu gani hicho kimekushinda kutengeneza mpaka umekuja kulalamika huku!
 
Kama uko under mature age sawa kulalamika. Mi mke wa jirani kila siku akulikuwa anavuruga chanel halafu anifuata nirekebishe nikiwa hapo anakuwa ananyonya kidole gumba mi fundi nikaelewa nikamrekebisha vzr tu. Inshort

JIONGEZE
 
Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime naitwa mimi wakati mi sijasomea umeme wala ufundi wowote. Huyo shemela wenu ye ndo mpk viatu vikikatika anataka nimtengenezee mimi. Hivi aliyewaambia si wanaume mafundi wa kila kitu nani?
Dah...Wajibu wa mwanaume ni kumhudumia mwanamke....wajibu wa mwanamke ni kufariji mwanaume...full stop😎
 
Lazima alalamike haiwezekani aaminike kwenye majukumu mazito kama hayo halafu inapofika kwenye majukumu ya msingi hawamwiti [emoji3][emoji3][emoji3]
Mfano kuna ugumu gani wao wasimwite atoe escot ya ulinzi kitandani
Aukuwaogesha bafuni
Huu ni uongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom