kibovu kichwa
Senior Member
- May 17, 2019
- 145
- 105
Lazima alalamike haiwezekani aaminike kwenye majukumu mazito kama hayo halafu inapofika kwenye majukumu ya msingi hawamwiti 😀😀😀Ukiona hivyo ni mtu unayeaminika...hili nalo ni la kulalamikia kweli?
nop silalamiki, nawaza tu kwa sauti baada ya kupewa simu moja nirekebishe sasa imenigomea ndo nakomaa nayo tangu janaUkiona hivyo ni mtu unayeaminika...hili nalo ni la kulalamikia kweli?
Hahaha mbona mnatudharau sana madereva wa bodabodaInategemea na kazi unayo fanya kama wewe ni dereva bodaboda hadi kuku wakikuona wajuwa unafahamu dawa ya kuwatibia.
Ndio maana ukaitwa mwanaume! Au wewe ni mwanaume wa dar?Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime naitwa mimi wakati mi sijasomea umeme wala ufundi wowote. Huyo shemela wenu ye ndo mpk viatu vikikatika anataka nimtengenezee mimi. Hivi aliyewaambia si wanaume mafundi wa kila kitu nani?
Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime naitwa mimi wakati mi sijasomea umeme wala ufundi wowote. Huyo shemela wenu ye ndo mpk viatu vikikatika anataka nimtengenezee mimi. Hivi aliyewaambia si wanaume mafundi wa kila kitu nani?
Pole sana kibovu kichwanop silalamiki, nawaza tu kwa sauti baada ya kupewa simu moja nirekebishe sasa imenigomea ndo nakomaa nayo tangu jana
Dah...Wajibu wa mwanaume ni kumhudumia mwanamke....wajibu wa mwanamke ni kufariji mwanaume...full stop😎Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime naitwa mimi wakati mi sijasomea umeme wala ufundi wowote. Huyo shemela wenu ye ndo mpk viatu vikikatika anataka nimtengenezee mimi. Hivi aliyewaambia si wanaume mafundi wa kila kitu nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima alalamike haiwezekani aaminike kwenye majukumu mazito kama hayo halafu inapofika kwenye majukumu ya msingi hawamwiti [emoji3][emoji3][emoji3]
Mfano kuna ugumu gani wao wasimwite atoe escot ya ulinzi kitandani
Aukuwaogesha bafuni
Huu ni uongo