Tetesi: Hivi Nissan nyeusi Nayo hutumiwa

Tetesi: Hivi Nissan nyeusi Nayo hutumiwa

Daah mkuu ngoja niiguzie kibao [emoji38] [emoji106]
 
Labda wanataka mbege zangu aah hawa shwain hawa
 
Yaap, huwa tunatumia kwa nyakati fulani na hasa kipindi hiki mnachoijua zaidi Nissan nyeupe
 
Mkuu na mm nanunua Nissan sa hivi nianze kutisha watu
 
[emoji38] [emoji106] sawa ikija kukufuatilia utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom