wakuu,niliapply kwenye cas-tcu,lkn nimekuta kozi nilizowekewa eligible ni bcom-finance ya udsm,economics-udsm na agro-economics ya sua na kila nikijaribu kubadilisha baadhi ya kozi nilizowekewa not eligible majibu yanakua ni yale yale not eligible.sasa naomba kuuliza kuna uwezekano kweli kwa mtu mwenye division 2.12 kuchaguliwa udsm au ndo nijihesabu nimeisha kosa chuo mwaka huu?mawazo yenu tafadhali
Unapo andikiwa ELIGIBLE inamaanisha umeingia katika mchakato wa uchaguzi, So usikate tamaa tumuombe mungu Mambo yawe safi