talentbrain JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,187 Reaction score 760 Jun 28, 2012 #1 Naomba mnisaidie nijue jinsi ya kuomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma.
kinya JF-Expert Member Joined Feb 20, 2009 Posts 495 Reaction score 71 Jun 28, 2012 #2 Unatakiwa uandike barua ya maombi wizara ya elimu na mafunzo nao watakupanga kwenye vyuo vyao vya serikali ,private omba chuoni moja kwa moja. Ila nafiri serikalini walishaomba zaman hope d line imeshapita kama sijakosea.
Unatakiwa uandike barua ya maombi wizara ya elimu na mafunzo nao watakupanga kwenye vyuo vyao vya serikali ,private omba chuoni moja kwa moja. Ila nafiri serikalini walishaomba zaman hope d line imeshapita kama sijakosea.
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,045 Reaction score 5,108 Jun 28, 2012 #3 omba tu. Watu huingia
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Jun 29, 2012 #4 Fungua United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training utaona tangazo lao lenye dedline na anwani ya posta. Muda ulishapita lakini wewe tuma tu wanaweza kukuchagua.
Fungua United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training utaona tangazo lao lenye dedline na anwani ya posta. Muda ulishapita lakini wewe tuma tu wanaweza kukuchagua.
thereitis JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 297 Reaction score 41 Jun 29, 2012 #5 Nyakageni said: omba tu. Watu huingia Click to expand... asipoteze muda wake. Muda wa maombi ulishapita kwa wenye nia ya kusomea ualimu ulishapita. Ualimu si kwa wale waliokosa mahali pa kwenda
Nyakageni said: omba tu. Watu huingia Click to expand... asipoteze muda wake. Muda wa maombi ulishapita kwa wenye nia ya kusomea ualimu ulishapita. Ualimu si kwa wale waliokosa mahali pa kwenda