Hivi Noah yangu lini?

Hivi Noah yangu lini?

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,008
Najua kuwa wote tuko salama na kwa wale ambao wana matatizo ya kiafya MUNGU awajalie afya njema.

Binafsi nimekuwa nikisubili Noah niliyoahidiwa na mjomba wangu yule wa chato ila ni mwaka wa pili sasa sijaipata na wala sioni dalili ya kuipata,
Kama Noah umeshindwa kunipa nipe hata tolori nikabebee mizigo kkoo.

(Maendeleo hayana chama)




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi bado navuta subra kusubiri Kg 2 zaa........
 
Noah = kitimoto Kama ulikua ujui so unataka kilo ngapi
 
Back
Top Bottom