Una akili ndogo sanaaaa!Aisee mkuu, yaani mwizi aibe halafu apewe na fedha alizobakiza wakati anaiba? Waende kuanza maisha jinsi watakavyo weza.
utakuwa muhanga, rais kashasema ni majizi kama majizi mengine pole..Hujasikia TUCTA wakiomba msamaha kwa niaba yao angalau walio karibia kustaafu wapewe?...angalia ukubwa wa akili yako usiwe umevuka ukubwa wa kiwango cha akili cha binadamu wa kawaida.Una akili ndogo sanaaaa!