GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
NTA ni National Technical AwardHabari wanaJF
Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass mbili yaani D mbili kwa matokeo ya kidato cha nne na pia ukiwa na hiyo NTA level 3. Sasa sijajua hiyo NTA LEVEL 3 inapatikana vipi na chuo gani wanatoa? naomba kueleweshwa.
Nta ya kugundishia au huu uzi unahusu nini?Habari wanaJF
Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass mbili yaani D mbili kwa matokeo ya kidato cha nne na pia ukiwa na hiyo NTA level 3. Sasa sijajua hiyo NTA LEVEL 3 inapatikana vipi na chuo gani wanatoa? naomba kueleweshwa.
Unaona sasa mkuu GOSSO MZEKEZEKE, mambo hayo. Tumeongeza maarifa hapa.NTA ni National Technical Award
Taasisi kama Veta inatoa mafunzo ya ufundi kuanzia
NTA Level 1 ( Cheti daraja la 1)
NTA Level 2 (Cheti daraja la 2)
NTA Level 3 (Cheti daraja la 3)
Ukitaka kusoma diploma unaaendelea na
NTA Level 4, NTA Level 5 NTA Level 6 na moja wapo ya sifa ya kujiunga NTA Level 4 unatakiwa angalau uwe na cheti cha NTA Level 3
Nimekosea kidogo hapo juuUnaona sasa mkuu GOSSO MZEKEZEKE, mambo hayo. Tumeongeza maarifa hapa.
Hakuna matata, maana yake sasa ukiwa na cheti cha form iv na hiyo NVA 3 unaweza kuanza NTA level 4 sasa na kuendelea.Nimekosea kidogo hapo juu
Veta level zao wanaota NATIONAL Vocational Award (NVA)
Kabisa chiefHakuna matata, maana yake sasa ukiwa na cheti cha form iv na hiyo NVA 3 unaweza kuanza NTA level 4 sasa na kuendelea.
Shukran sana mkuu. Tupo pamoja sana.Kabisa chief
Ila inategemea na ifaulu pamoja na kozi unayotaka kusoma
Hiyo inapatikana VETAHabari wanaJF
Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass mbili yaani D mbili kwa matokeo ya kidato cha nne na pia ukiwa na hiyo NTA level 3. Sasa sijajua hiyo NTA LEVEL 3 inapatikana vipi na chuo gani wanatoa? naomba kueleweshwa.
Hv mkuu kwenye Ajira huyo mwenye Higher diploma/ Advanced diploma anakuwa na uzito sawa na mwenye bachelor degreeHiyo inapatikana VETA
Ukienda chuo cha kati unaanza na NTA 4(Basic certificate),NTA5(Technician certificate ) na kisha diploma ambayo ni NTA 6 (hii ni intermediate sasa)
Then utaingia kwa level ya chuo kikuu utaikuta NTA 7 (Higher diploma hIii ipo kwabaadhi ya vyuo kabla ya degree kuhitimu unaweza ishia njiani mfano kozi ina miaka 4 ila ww ukapiga miaka 3,chuo kitakutunuku higher diploma),NTA 8 (Bachelor degree),NTA 9 (Masters degree),NTA 10 (Phd).
Your welcome!
dah aisee so kwajumla apo inakua0ni miaka mingapi mpaka masters degreeHiyo inapatikana VETA
Ukienda chuo cha kati unaanza na NTA 4(Basic certificate),NTA5(Technician certificate ) na kisha diploma ambayo ni NTA 6 (hii ni intermediate sasa)
Then utaingia kwa level ya chuo kikuu utaikuta NTA 7 (Higher diploma hIii ipo kwabaadhi ya vyuo kabla ya degree kuhitimu unaweza ishia njiani mfano kozi ina miaka 4 ila ww ukapiga miaka 3,chuo kitakutunuku higher diploma),NTA 8 (Bachelor degree),NTA 9 (Masters degree),NTA 10 (Phd).
Your welcome!
NTA inaanzia level 1 kwa darasa la saba.Hakuna NTA level 3 NTA nijuavyo zibaanza level 4